Jiwe aina ya gwangara ilikiwa na dhaabu nyingi

Know the gold and its benefits, gold It is often found in many mountainous areas and there are many types of rocks inayonesha dhaabu ndani yake mfano kuna mwamba au jiwe rijulikanalo kama gwangara. Gwangara nijiwe la dhaabu ambalo lipo umbri mrefu sana ndani ya arizi pia hupatikana baadhi ya maeneo na huwa na dhaabu nyingi na pia huwa Lina madini aina nyingi tofauti na dhaabu pia Lina mfano wa chumvi chumvi na gesi na maji ya bluee au langi yake napia Lina uwezo wa kuozesha chuma bati nyumba ya tofali ya bloko inaweza kuoza pia hata udongo wake ni mzito sana na unakilo nyingi sana ili ujue soma ukulasa unao fuata..

Comments